Kuandaa habari kwa wazazi

  • Huduma za maelekezo za WS / FCS zinaelewa kuwa mwaka huu umeleta mabadiliko mengi katika michakato yetu ya kawaida ya kujifunza na taratibu za kutathmini. Katika juhudu za kuweka pamoja taarifa zote kutoka kwa serikali na wilaya, hapa chini tumekusanya hati za hivi karibuni ambazo zinaeleza kuhusu kutathmini katika wakati huu usio wa kawaida. Ikiwa wazazi wana maswali tunakuhimiza uwasiliane kwanza na mwalimu wa mtoto wako au shule. Ikiwa unahitaji msaada zaidi, mtu kutoka Timu yetu ya Msaada wa Habari za Wanafunzi anaweza kukusaidia kwa kupiga simu yetu ya moja kwa moja ya COVID-19 katika 336.661.3128. Simu hiyo ya moja kwa moja inafanya kazi Jumatatu – Ijumaa, kutoka saa mbili asubuhi hadi saa kumi alasiri.

     

     

     

Imesasishwa Mei 11, 2020

If you are having trouble viewing the document, you may download the document.

Sampuli ya kadi ya ripoti

If you are having trouble viewing the document, you may download the document.
  • Home